Oktoba hii Safina ya Ladha ya Hamasisha Bidhaa Mpya 28 August 2014 Mradi wa Slow Food wa Safina ya Ladha ulioanziswa ili kulinda bidhaa za kitamaduni na za historia ya dunia nzima. Suala la mradi huu litakuwa kati ya mada zitakayo zingatiwa katika mkusanyiko wa Salone del Gusto na Terra madre 2014.
ZIARA YA RAIS WA SLOW FOOD – CARLO PETRINI NCHINI KENYA MACHI 28 – APRILI 2, 2012 19 March 2012 Kutoka Machi 28 hadi Aprili 2, Carlo Petrini, rais na mwanzilishi wa Slow Food, atakuwa katika nchi ya Kenya kutembelea Slow Food nchini na jamii za Terra Madre. Petrini atakuwa mjini Nairobi Machi 28-29.